Football Laws & Rules

Reset

1: Clean sheet na kushinda POINT 8
2:Assist na kushinda POINT 10
3:Clean sheet bila kushinda POINT 7
4: Kadi ya njano POINT 5 hata ikiwa amefunga kutoa asist au kupata cleansheet
5: Kupoteza POINT 0
6: Kadi nyekundu POINT -10

1: Cleansheet na assist na kufunga POINT10
2: Kufunga bao POINT 9
3:Kutoa assist POINT 8
5: Kadi ya njano POINT 5 hata ikiwa umefunga au kutoa assist
6: Kadi nyekundu point -10

1: Kufunga bao moja na Kutoa assist POINT10
2: Kufunga bao zaidi ya moja au Kutoa assist zaidi ya moja POINT 10
3: Kufunga bao pekee PONT 9
4: Kutoa assist pekee POINT 8
5:kupata kadi ya njano hata kama katimiza masharti ya hapo juu PONT 5
6: Kupata kadi nyekundu point -10

1: Kipa kufunga ndani ya msimu husika POINT 10
2: Mchezaji wa timu yako kuwa mchezaji bora wa msimu point POINT 20
N.B Mchezaji bora wa msimu ni yule mwenye point nyingi kuliko wote
3. Mchezaji wako kuwa mfungaji bora ndani ya msimu husika POINT 20
4: Mchezaji wako kuwa na asist nyingi kuliko wachezaji wote mwisho wa msimu POINT 20